• Home
  • Advertise With Us
  • Cookies Policy
  • DMCA Policy
  • EULA
  • Privacy Policy
No Result
View All Result
  • Home
  • Advertise With Us
  • Cookies Policy
  • DMCA Policy
  • EULA
  • Privacy Policy
No Result
View All Result
Apple Lyrics
No Result
View All Result

Evelyn Wanjiru – Mungu Mkuu Lyrics (Live)

Evelyn Wanjiru Mungu Mkuu Lyrics

Zaidi ya yote ,utabaki
kuwa Mungu Mkuu.
Alpha Omega,
hubadiliki kamwe
Nikitazama nyuma na
mbele,naona ukuu wako
Kaskazini. Kusini pia
naona ukuu Wako
Magharibi nako
Mashariki pia eh naona ukuu Wako.

Zaidi ya yote ,utabaki
kuwa Mungu Mkuu.
Alpha Omega,
hubadiliki kamwe
Hakuna mkamilifu
Katika wanadamu eh
Kila goti lipigwe,kila
ulimi ukiri kuwa Yesu ni
Mungu pekee eh

Zaidi ya yote ,utabaki
kuwa Mungu Mkuu.
Alpha Omega,
hubadiliki kamwe
Umenipigia vita vikali,
ambazo Mimisingeweza
pekee yangu.
Maadui waliniandama
lakini ukawatawanya
kwa njia saba
Usifiwe, Uabudiwe
Usifiwe,Uabudiwe eh

Zaidi ya yote ,utabaki
kuwa Mungu Mkuu.
Alpha Omega,
hubadiliki kamwe
Anabaki kuwa Mungu tu

Evelyn Wanjiru Mungu Mkuu Lyrics English Translation

Above all, you will remain
to be the Great God.
Alpha Omega,
they never change
Looking back and
forward, I see your greatness
North. South too
I see Your greatness
West too
East also eh I see Your greatness.

Above all, you will remain
to be the Great God.
Alpha Omega,
they never change
No one is perfect
In humans eh
Every knee should bow, every
the tongue confesses that Jesus is
Only God eh

Above all, you will remain
to be the Great God.
Alpha Omega,
they never change
You have fought a fierce battle for me,
which I could not
my only one.
Enemies stalked me
but you scattered them
in seven ways
Praise, worship
You are praised, Worshiped eh

Above all, you will remain
to be the Great God.
Alpha Omega,
they never change
He remains only God

    Lyrics Information & Credits

  • Song Title:
  • Performed by:
  • Written by:
  • Genre:
  • Release Date:

You May Also Like

Evelyn Wanjiru MWANGA Lyrics

Evelyn Wanjiru – Umwema Lyrics

Evelyn Wanjiru MWANGA Lyrics

Evelyn Wanjiru – Jehovah Elohim Lyrics (Live)

Evelyn Wanjiru MWANGA Lyrics

Evelyn Wanjiru – Sifa Zitande Lyrics

Evelyn Wanjiru – Baba Inuka Lyrics (Live)

Evelyn Wanjiru – Mwanga Lyrics

Evelyn Wanjiru – Naringa Na Yesu Lyrics

Evelyn Wanjiru – You’re Worthy Lyrics

Evelyn Wanjiru – Utukufu Lyrics (Live)

Evelyn Wanjiru – Yesu Lyrics ft. Eunice Njeri, Godwill Babette

  • Home
  • Hot Lyrics
  • DMCA Policy
  • Advertise Here
  • Cookies Policy

© 2022 - AppleLyrics.com - All rights reserved to respective artists.

No Result
View All Result
  • Home
  • Advertise With Us
  • Cookies Policy
  • DMCA Policy
  • EULA
  • Privacy Policy

© 2022 - AppleLyrics.com - All rights reserved to respective artists.